Sports

AZAM YAIPIGA MASHUJAA KWENYE MSHONO

Tarehe: 01 Nov, 2023


Baada ya kuchezea vipigo viwili mfululizo klabu ya Mashujaa imeongezewa kipigo cha tatu mfululizo katika uwanja wake wa nyumbani baada ya kupigwa goli 3-0 na klabu ya Azam Fc.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab