National News

UJERUMAN KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA

Tarehe: 31 Oct, 2023


“Napenda kuwahakikishia kwamba urafiki huu ambao umekuwepo kwa miaka kadhaa sasa (kati ya Tanzania na Ujerumani) utaendelea kuwepo kwa sababu ya uaminifu ambao tunao kati ya hizi nchi mbili, hivyo tutaendelea kujenga huu uhusiano kwa ukaribu.” – Frank-Walter Steinmeier, Rais wa Ujerumani
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab