Sports

MBAPPE AWAKUNA VICHWA CHELSEA NA AL-HILAL

Tarehe: 23 Jul, 2023


Al-Hilal wamempa Mbappe ofa ile ile waliyoitoa kwa Lionel Messi ya  euro 400m (£346.3m) kwa mwaka hadi 2026, ingawa ana makubaliano ya kujiunga na Real Madrid kama mchezaji huru msimu ujao wa joto.

Hata hivyo Mbappe yuko tayari kukaa nje kwa msimu mzima na kuondoka PSG bure msimu ujao baada ya mabingwa hao wa Ufaransa kumuweka sokoni. 

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab