National News

WAZIRI MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA FAO

Tarehe: 19 Oct, 2023


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula  na Kilimo, (FAO), Dkt.  Qu Dongyu  kwenye makao makuu ya shirika hilo , Rome nchini Italia mnamo Oktoba 18, 2023.

..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab