National News

MAENDELEO YA MABORESHO YA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA KWENYE MABENCHI

Tarehe: 17 Oct, 2023


Mabenchi ya Timu na Maofisa wa mchezo yenye viti vya kisasa yaliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika mchango wake wa marekebisho ya awamu ya kwanza uwanja wa Benjamin Mkapa yakiendelea kufungwa. 


  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab