Sports

KAIZER CHIEFS NDANI YA ZANZIBAR

Tarehe: 23 Jul, 2023


Klabu ya soka ya Yanga kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Kikosi cha Kaizer Chiefs pia kimepata fursa ya kumtembelea Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ikulu Zanzibar ikiwa ni njia ya kutangaza utalii wa Tanzania kupitia michezo.

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab