National News

TANZANIA, KENYA NA UGANDA KUANDAA AFCON 2027

Tarehe: 27 Sep, 2023


Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji mwenza wa mashidano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027.

Tofauti na Tanzania nchi nyingine mwenyeji wa mashindano hayo ni Uganda na Kenya chini ya mradi wa Pamoja.

Kwa mwaka 2025 mashindano hayo yatafanyika nchini Morocco.
...............
Tufuatilie zaidi
Instagram @mainfmtanzania
Facebook @mainfmtanzania 
Twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab