National News

CHANDE ATEULIWA KUWA MKUU MPYA TTCL

Tarehe: 23 Sep, 2023


Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)  ambapo kabla ya uteuzi huo Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), na amechukua nafasi ya Mhandisi Peter Ulanga ambaye atapangiwa kazi nyingine

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab