National News

MSIGWA KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Tarehe: 23 Sep, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua  Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya  Utamaduni, Sanaa na Michezo ,ambapo kabla ya uteuzi huo Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ambapo nafasi hiyo itatajazwa hapo baadaye

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab