Sports

SIMBA WAMSAJILI MLINDA LANGO WA MBRAZIL

Tarehe: 23 Jul, 2023


Klabu ya Simba SC  imetangaza kukamilisha Usajili wa golikipa wa Kimataifa wa Brazil ,Jefferson Luis mwenye umri wa Miaka 29 kwa Mkataba wa Miaka miwili.

Golikipa huyo ambaye ni pendekezo la Kocha, Robertinho amesajiliwa na Simba akitokea Klabu yake ya Resend FC  inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Nchini Brazil


  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab