Sports

STARS YAANDIKA HISTORIA NYINGINE

Tarehe: 08 Sep, 2023


Dakika 90 za mchezo wa marudiano kufuzu michuano ya AFCON kati ya Algeria dhidi ya Taifa stars zimemalizika kwa timu zote mbili kugawana alama moja kila mmoja.

Hatimaye timu ya Taifa ya Taifa Stars imefanikiwa kufuzu kucheza fainali za Michuano ya AFCON kwa mara ya tatu mashindano ambayo yatafanyika nchini Ivory Coast mwaka 2024.


  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab