National News

ANDENGENYE AONGOZA KIKAO CHA BODI YA KISEZ

Tarehe: 07 Sep, 2023


Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ameongoza kikao cha Bodi ya Kigoma Special Economic Zone (KiSEZ) leo Septemba 7, 2023 kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Albert Msovela, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kigoma Rose Manumba, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Mwantum Mgonja pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya KiSEZ Deogratius Sangu.


  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab