National News

RAIS SAMIA AKIHUTUBIA NDANI YA KICC

Tarehe: 05 Sep, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wakuu wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC), Nairobi nchini Kenya 05 Septemba, 2023

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab