National News

RAIS SAMIA AHUDHURIA MKUTANO TABIA YA NCHI KENYA

Tarehe: 05 Sep, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05 September 2023, amehudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika ukumbi wa kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya ukihudhuriwa na wakuu wa nchi na Serikali pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za kimataifa.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab