National News

RAIS SAMIA KATIKA KIKAO CHA UWT

Tarehe: 28 Sep, 2024


#RUVUMA:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akifunga kikao maalum cha Baraza kuu  la jumuiya ya  Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi Wa parokia  Bombambili,wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.