National News

MENEJA WA ZECO ATENGULIWA

Tarehe: 29 Aug, 2023


Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), Ndugu Mshenga Haidar Mshenga kuanzia leo Agosti 29, 2023.

Ikumbukwe Mshenga aliteuliwa kushika wadhifa huo Mei 4 mwaka huu na hiyo kumfanya kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miezi 3.
.........................
#twitter#instagram#facebook @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab