National News

"HAKIKISHENI VIJANA WANAJIUNGA KWA WINGI MRADI NA BBT"-RAIS SAMIA

Tarehe: 27 Aug, 2023


"Panapokuwa na chakula cha kutosha kawaida hakuna vurugu, mtu anaweza kustahimili watanzania wote wamestahimili miaka kadhaa hakuna maji hio kwa sababu walikuwa wanayapata mitoni na maeneo mengine, inawauma lakini wamestahimili, panapokosekana chakula hakuna stahamala. Kwahiyo kila mwenye mkoa, RC, RAS, DC kahakikisheni vijana wetu wanajiunga kwa wingi kwenye program ile ya kuhakikisha tuna chakula cha kutosha (BBT)".

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha Mkoani Pwani.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab