Sports

YANGA YAZIDI KUCHANJA MBUGA KLABU BINGWA

Tarehe: 26 Aug, 2023


Yanga Sc imeifuata El Merreikh ya Sudan kwenye raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 7-1 dhidi ya Asas Djibout FC.
Magoli  kwa upande wa Yanga yamefungwa na Max Nzengeli  7', na 90'+2'
Hafiz Konkoni 44'
Pacome Zouzoua  54'
Clement Mzize 69'
Na kwa upande wa Asas goli pekee la kufutia machozi limefungwa na Tito Mayor  85' kwa mkwaju wa penati.
Vipi unampa maksi ngapi Max Nzengeli? 
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab