National News

"TUMEBAINI KUWA WALIGHUSHI SAINI ZA VIONGOZI"

Tarehe: 17 Jul, 2024


#HABARI:"Klabu tumegundua kuwa, Abedi Mohamed Abedi aligushi sahihi za Mama Fatma Karume, alighushi sahihi Jabir Katundu ambaye alilazimishwa na sahihi ya Mzee Mkuchika. Mzee Jabir Katundu alituma barua yake Kisutu akieleza kuwa hakuwahi kusaini chochote kinachohusiana na kesi hiyo. 

Klabu imeomba Mahakama iongeze muda wa Klabu kufanya mapitio ya kesi kwani Klabu haikuwahi kushiriki kwenye kesi hiyo. Klabu vile vile itaomba mahakama ifuatilie jinai ambazo zimeonekana kwenye kesi hiyo ikiwemo kughushi sahihi za baadhi ya Viongozi waandamizi wa Young Africans SC" Simon Patrick - Mkurugenzi wa Sheria

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab