National News

ZEC YAPATA MWENYEKITI MPYA

Tarehe: 24 Aug, 2023


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein AlijMwinyi   amemteua Jaji George Joseph Kazi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ambapo ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo.Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023.

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab