Sports

"GOLI LA AZIZ KI LILIKUWA HALALI" - MOTSEPE

Tarehe: 24 May, 2024


#MICHEZO: Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema goli la Yanga dhidi ya Mamelodi Sundows lililokataliwa lilikuwa halali.

Amesema licha ya kuwa kwa nafasi yake hakutakiwa kusema chochote, lakini kama shabiki wa mpira wa miguu aliona kwamba lilikuwa ni goli.

“Japo Rais wa CAF hatakiwi kutoa maoni yoyote kuhusu maamuzi ya mwamuzi lakini kwangu mimi nilivyorudia kuangalia lilikuwa ni goli halali” #MICHEZO: Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema goli la Yanga dhidi ya Mamelodi Sundows lililokataliwa lilikuwa halali.

Amesema licha ya kuwa kwa nafasi yake hakutakiwa kusema chochote, lakini kama shabiki wa mpira wa miguu aliona kwamba lilikuwa ni goli.

“Japo Rais wa CAF hatakiwi kutoa maoni yoyote kuhusu maamuzi ya mwamuzi lakini kwangu mimi nilivyorudia kuangalia lilikuwa ni goli halali” — amesema Motsepe.

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab