Sports

NI YANGA AU KMC LEO?

Tarehe: 23 Aug, 2023


Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwa mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya KMC ambapo yanga inatupa karata yake ya kwanza katika msimu huu wa ligi kuu soka Tanzania bara katika uwanja wa Azam Complex. 

Nani kuondoka na alama tatu za leo?
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania




  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab