Sports

VIINGILIO KUINGALIA DABI VYATAJWA

Tarehe: 14 Apr, 2024


#MICHEZO:Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza viingilio vya mechi ya watani wa jadi ambapo Yanga itakuwa mwenyeji dhidi ya Simba SC ndani ya dimba la Benjamin Mkapa Aprili 20.

Kwa mujibu wa taarifa ya TPLB, mzunguko ni shilingi 5,000, viti vya machungwa shilingi 10,000, VIP ‘C’ shilingi 20,000, VIP ‘B’ shilingi 30,000 na VIP ‘A’ ni shilingi 50,000.

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab