National News

MIAKA MITATU YA SAMIA

Tarehe: 19 Mar, 2024


Uongozi na Wafanyakazi wa Main Fm, tunatoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka mitatu madarakani.

Imekuwa ni miaka ya mafanikio kwa Taifa letu kupitia Uongozi wako, kwa hakika tumeshuhudia uongozi bora katika sekta mbalimbali.

Tunakutakia kheri na Baraka tele.
kazi iendelee. 


  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab