National News

LOWASA KUZIKWA KIJIJINI KWAO

Tarehe: 11 Feb, 2024


Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Lowassa anatarajiwa kuzikwa Jumamosi ya Februari 17, 2024 kijijini kwake Ngarash Wilayani Monduli.

Taarifa hiyo ya ratiba ya maziko imetolewa nyumbani kwa Hayati Lowassa na msemaji wake binafsi Aboubakari Liongo.
..........................
Powered by 
@tigo_tanzania
#TigoTanzania
#ValentinesLoversNight
#TigoMainfm

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab