Sports

RASMI EDWIN BALUA NI MNYAMA

Tarehe: 17 Jan, 2024


Klabu ya Simbasctanzania imetangaza kukamilisha usajili na kumtangaza Edwin Balua kama mchezaji wake mpya akitokea klabu ya Tanzania Prisons.

Edwine Balua aanakuwa mchezaji wa Sita kusajiliwa na Simba katika usajili wa dirisha la dogo.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab