Sports

MASHUJAA YAMNASA MWAKINYUKE

Tarehe: 17 Jan, 2024


Klabu ya soka ya mashujaaf c leo Januari 17, 2024 imemtambulisha Mpoki Mwakinyuke kama mchezaji wake mpya.

Mashujaa Fc imemsajili Mpoki Mwakinyuke mchezaji katika nafasi ya winga akitokea katika Klabu ya Ihefu mkoani Mbeya.

Nani mwingine aliyebakia?
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab