National News

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI MBEYA

Tarehe: 16 Jan, 2024


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe, ambapo leo Januari 16, 2024 atazindua Chuo Kikuu Katoliki Mbeya-Catholic University of Mbeya (CUoM) mkoani Mbeya.

Waziri Mkuu amewasili mkoani humo na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homela, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson, Viongozi wa chuo hicho pamoja na viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania







  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab