National News

MELI YENYE UREFU WA MITA 294 YATIA NANGA BANDARINI DAR

Tarehe: 16 Jan, 2024


Meli yenye urefu wa mita 294 kutoka kampuni ya Norwegian Dawn nchini Norway imetia Nanga katika Bandari  ya Dar es salaam ikiwa imebeba watalii 2200 kutoka Ulaya.

Meli hiyo imetia nanga katika bandari hiyo ikiwa ni matokeo ya mradi wa kuongeza kina cha maji na ujenzi wa gati.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab