Sports

YANGA NA ASAS KUKUTANA KLABU BINGWA

Tarehe: 25 Jul, 2023


Klabu ya Yanga imepangwa kucheza na timu ya Asas Fc ya Djibouti katika hatua ya awali ya michuano ya ligi ya  mabingwa Afrika.

Mchezo wa kwanza unatarajiwa kupigwa kati ya Septemba 18-20, 2023, ambapo mshindi wa jumla kwenye mchezo huo atakutana na mshindi kati ya As otoho ya Congo ama El Merreikh ya Sudan.

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab