National News

BEI YA MAFUTA YA PETROLI YASHUKA

Tarehe: 03 Jan, 2024


Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zilizoanza kutumika Jumatano 3 Januari 2024 na mafuta yakitajwa kupungua bei kwa mwezi huu.

Kupungua kwa bei za mafuta kwa mwezi Januari 2024 ni kwa sababu ya kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia kwa wastani wa asilimia 6.03 kwa petroli na asilimia 7.13 kwa dizeli.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab