National News

"WANANCHI SHIRIKINI KUTOA MAONI DIRA YA MAENDELEO"- MAKONDA

Tarehe: 21 Dec, 2023


"Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua na kutoa fursa kwa Watanzanja wote kutoa maoni katika hili, wataalamu, Wafanyabiashara, Wasomi, Mafundi ujenzi na Watu wotee yani kila Mwananchi ana wajibu wa kushiriki kutoa maoni ya kutaka kuona Tanzania inatakiwa kuwa ya namna gani"

"Watanzania tusisubiri mambo yaende vibaya badaye tuseme Viongozi wetu wanakosea , shirikini kutoa maoni ili tuijenge Tanzania yetu iliyo bora" - Paul Makonda, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab