National News

BALOZI WA SIERRA LEONI KWENYE MAZUNGUMZO NA RAIS SAMIA

Tarehe: 24 Jul, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi Kenya Mhe. Isatu A. Bandu, mara baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo Koo Nchi hizo mbili zinadhamiria kuimarisha masuala ya Biashara na Uwekezaji.

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab