National News

DKT. MPANGO AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO YA KIJAMII

Tarehe: 10 Dec, 2023


Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri, Makamu wa Rais Dkt. Mpango amewaasa watanzania kutumia vema mitandao ya kijamii.

Amesema matumizi yasiyofaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa yakiumiza watu wengi hivyo yampasa kila mmoja kutumia vema pamoja na kuwa na hofu ya  Mungu.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab