National News

IDADI YA VIFO YAFIKIA 49 KATIKA MAFURIKO MANYARA

Tarehe: 04 Dec, 2023


#Habari: Kutoka wilayani Hanang, Mkoani Manyara katika mafuriko yaliyotokea, idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko hayo imefikia 49 baada ya miili mingine kuokolewa.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amethibitisha ongezeko la vifo hivyo na amesema taarifa zaidi zitaendelea kutolewa kwani zoezi la kutafuta miili mingine linaendelea.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab