National News

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

Tarehe: 21 Nov, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB).

Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania.
cc: @ikulu_mawasiliano 
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab