National News

WAKURUGENZI WAWILI WA HALMASHAURI WASIMAMISHWA KAZI

Tarehe: 21 Nov, 2023


Waziri katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili wa Halmashauri kuanzia Novemba 20, 2023 ili kupisha uchunguzi.

Wakurugenzi waliosimamishwa ni Bi. Butamo Nuru Ndalahwa wa Halamshauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani pamoja na Mkurugenzi wa Halmshauri ya mji wa Ifakara mkoani Morogoro Bi. Lena Martin Nkaya.

..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab