National News

RAIS SAMIA AWATUNUKU SHAHADA YA SAYANSI YA KIJESHI MAAFISA 62 WA JWTZ

Tarehe: 18 Nov, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo amewatunuku Kamisheni  Maafisa 62 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli mkoani Arusha.

Hii ni mara ya kwanza kwa chuo hicho kuwezesha mafunzo ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa kujisimamia chenyewe pasipo na ushirikiano wa kimafunzo na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kama ilivyokuwa kwenye awamu 3 zilizopita.

..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
www.mainfm.co.tz
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania


  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab