National News

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI TANZANIA

Tarehe: 03 Nov, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha  Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia  Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba, 2023.
..........................
Tufuatilie zaidi kupitia
#instagram @mainfmtanzania
#facebook @mainfmtanzania
#twitter @mainfmtanzania

  • © Copyright - 2024
  • All rights reserved by - MainFm
  • Developed by - Mainfintech Lab